MCHUNGAJI alikuwa anawaombea waumini wake akauliza;
MCHUNGAJI: Wangapi wanataka kuokoka inueni mikono juu niwaombee.....hakuna aliyeinua mkono. Pedeshee mmoja akapita mbele na kupanda madhabauni na kutangaza
PEDESHEE: Jamani mchungaji anasema wanaotaka kuokoka wanyanyue mikono juu jamani.....mtoto mmoja peke yake akanyanyua mkono, pedeshee akatoa laki tatu mfukoni akampa yule mtoto.
PEDESHEE: Haya jamani ninaomba nirudie tena niwaombe wanaotaka kuokoka wanyooshe mikono juu ili Mchungaji atuombee.....watu wote wakanyanyua mikono juu, Pedeshee akamgeukia Mchungaji ili awaombee akakuta na mchungaji naye kanyanyua mikono juu. pedeshee ahaaa..! hata mchungaji naye ujaokoka?
No comments:
Post a Comment