mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Saturday, May 03, 2014

HUYU AJAPONA MRUDISHENI NDANI

Kuna vichaa wawili walikuwa kimya ndani ya hospitali ya vichaa hadi dokta akahisi wamepona dokta
akawaita nje.
DOKTA: Hivi nikikupa ndizi utaifanyaje?
KICHAA 1: Nitasema asante nitaimenya nitakula maganda natupa jalalani.
dokta akamuuliza na yule kichaa wa pili
DOKTA: hivi nikikupa baiskeli utafanyaje?
KICHAA 2: Nitasema asante nitaimenya nitakula maganda natupa jalalani
DOKTA: huyu hajapona mrudisheni ndani yule mwenzie amepona aende nyumbani.

No comments:

Post a Comment