Ticha kaingia darasani akaanza kuuliza wanafunzi wakiwa wakubwa wanataka kuwa nani akaanza na james
ticha: james ukiwa mkwa unataka kuwa nan?
james: nataka kuwa tajiri mwenye pesa nyingi,magari ya kifahari, nyumba nzuri na niishi marekani
ticha: haya hongera, na wewe mary ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?
Mary: mi nataka kuolewa na james.
Wanafunzi na mwalimu wao wote wakaangua kicheko...!
No comments:
Post a Comment