Chizi wawili walikua wamekaa pamoja, mmoja akamwambia mwenzake: Leo
nimeota niko UFARANSA,yule mwenzake akasema: na mi leo nimeota
nimewaalika watu kwangu waje kula biriani. Yule chizi wa kwanza akahamaki
sana akamwambia mwenzake'' Mbona hujanialika na mimi''? Chizi mwenzake
akamjibu: mi nlidhani bado upo UFARANSA.
No comments:
Post a Comment