mambo
WEKA
SULUM
Pages
Home
Thursday, May 22, 2014
NAONGEA NA BIA
Jamaa yuko baa na mama watoto.
Jamaa:
Nakupenda sana!
Mke:
Huyo ni wewe au bia zinaongea?
Jamaa:
Ni mimi naongea na bia. Siongei na wewe!
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment