ama kweli msemo wa mwili mmoja ndani ya ndoa swaga tu sikia hii: mume karudi nyumbani ana mawazo vibaya mno kula hataki mawazo na yeye
mke: mume wangu nini mbaya lakini mbona umebadilika leo huna furaha kama siku zingine?
mume: yaani mke wangu achatu nina shida kweli!
mke: usiseme una shida mume wangu me na wewe ni mwili mmoja shida yako mi yangu pia sema tunashida
mume: ni kweli mke wangu tunashida sana
mke: shida gani mume wangu niambie basi
mume: yaani mke wangu huwezi amini tumempa mwanafunzi mimba
mke: pumbavu utafia mwenyewe jela nakuambia
No comments:
Post a Comment