Babu mmoja mwenye heshima alipita mtaa fulani akakuta vijana wamejipanga barabarani kwa furaha babu ikambidi aulize:
BABU: Kuna nini tena hapa vijana?
KIJANA: Babu tumeambiwa kuna mwanamke mmoja supastaa atapita mtaa huu anaendesha baiskeli bila kuvaa hata kipande cha nguo.
BABU: Dah..! ngoja na mie ningoje unajua sijaona baiskeli siku nyingi sana.
No comments:
Post a Comment