mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Saturday, June 28, 2014

MIE NIPO SINGLE USINISUMBUE




Mtu na mkewe walipata ajali ya gari wakafariki..
Mke: alipofika mbinguni akakutana na mumewe. mahojiano 
yalikuwa kama ifuatvyo
Mke: Mume wangu bora tumekutana tuendeleze mapenzi yetu"
Mume: tuliapa kuwa kifo ndiyo kitatutenganisha, huku
mbinguni mie nipo single...usinisumbue!"

No comments:

Post a Comment