mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Saturday, June 28, 2014

"NINGEMPANDA TUNGEPOTEA WOTE"



zuzu alienda na punda sokoni akamuacha nje,
alipotoka hakumkuta yule punda, ikabidi aondoke huku akicheka,
alipofika kwake mke akamuliza, mbona unacheka? akasema punda
amepotea mke akasema sasa unacheka nini zuzu akasema "ningempanda
tungepotea wote"

No comments:

Post a Comment