mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Thursday, June 05, 2014

SIKIA SALA HII YA DOGO

 Dogo siku moja usiku alipewa nafasi na baba kuongoza sala na maombi
dogo akaanza; nakushukuru mungu kwa kutulinda waja wako kwa siku hii inayoisha pia nakuomba umlaani kijana anayempa sousage iliyo kwenye suruali yake na kumpa dada yangu ale, vile vile nakuomba umjalie yule mbaba anayekuja nyumbani kulala na mama pale baba anapokuwa amesafiri apate kuwa na kwake ili asije tena kulala kwetu, pamoja na hayo nakuomba pia uwajalie wanawake walio uchi kwenye simu ya baba wapatie nguo AMEEN.

No comments:

Post a Comment