mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Saturday, June 28, 2014

UKIONA NIME"LIKE UJUE NDIYO YEYE




Polisi:Nimekuja nyumbani kwako kukupa taarifa kuwa kuna ajali ya gari imetokea,
inasemekana mke wako amefariki,naomba twende ukaangalie kama
utaitambua maiti.
Mume mlevi:Potezea bhana usinisumbue,kama vipi mpige picha 
halafu upload facebook then unitag ukiona nime LIKE ujue ndiyo yeye.

No comments:

Post a Comment