mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Wednesday, June 04, 2014

UPERESHENI YA KICHWA?

Binti: Mpenzi naomba hela nikasuke.
Jamaa: Kiasi gani?
Binti: Kama laki 3 tu honey.
Jamaa: eheee..! Sorry, hivi umesema kusuka au
kufanyiwa operesheni ya kichwa?

No comments:

Post a Comment