kuna mama mmoja alikuwa amezoea
kumtukama mtoto wake "Mbwa we" sasa siku moja walikuwa wanawahi
daladala, yule mama akamwambia yule mtoto wake "we mbwa hebu tembea
tutaachwa na daladala, Yule konda wa daladala akawa amesikia, akauchuna kimya.
sasa wakati wa kudai nauli akawadai wote alipomfikia yule mama akamwambia we MAMA
MBWA NAULI YANGU.wacha mama wa watu aje juu
No comments:
Post a Comment