mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Thursday, September 25, 2014

AHAA WEWE!



Dokta mmoja alikuwa amepata dharula akamwambia mlinzi wa hospitali yake ahakikishe hospitali inabaki wazi. Baada ya masaa mawili akarudi;
DOKTA: Vipi hapa salama?
MLINZI: Salama tu mzee,  alikuja jamaa mmoja akasema anaumwa kichwa nikampa panadol
DOKTA: Safi sana
MLINZI: Akaja mwingine akasema anaumwa, tumbo limejaa gesi nikampa magneziamu
DOKTA: Aise we mkali safi sana
MLINZI: Wakati nataka kufagia ofisi amekuja binti mmoja mzuri sana muigizaji wa filamu kaingia fosi kavua nguo zote, kapanda kwenye kitanda cha kupimia wagonjwa kalala, akaniambia, nimsaidie hajamuona mwanaume mwezi wa sita na hawezi kuvumilia zaidi, basi nikamnyunyizia machoni matone ya dawa ya macho
DOKTA: Ahaa wewe!

No comments:

Post a Comment