mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Saturday, September 27, 2014

...IMESHAANDIKWA MPAKA KWENYE MAGAZETI YA UDAKU!

Nyani alikuwa anapita karibu na kisima cha maji akamkuta simba kainama anakunywa maji! Nyani kwa uhuni wake akamnyatia simba akambaka, alipomaliza akamsukumia kisimani akakimbia, alijua simba akitoka huko kuna kimbembe kitatokea, katika kimbia yake akamkuta mzee mmoja kavaa kofia kakaa kwenye kigoda anasoma gazeti maarufu la udaku! Akamtisha  mzee wa watu, mzee akakimbia akadondosha gazeti na kofia, nyani akaivaa kofia akakaa kwenye kigoda nae akaanza kujifanya anasoma gazeti. Simba akatokea huku akiwa kachukia sana
Simba: Oyaa umemuona nyani mmoja kapita hapa?
Nyani: Yupi? Huyo aliyembaka simba kisimani?
Simba: Ayaaa usiniambie kumbe imeshaandikwa.mpaka kwenye magazeti ya udaku!

No comments:

Post a Comment