asubuhi, mtu akapiga hodi mke akaenda kufungua mlango
si akakuta mchepuko wake,
MKE: Unataka nini we mpumbavu?
MUME: Nani huyo unamtukana?
MKE: Kuna mtu hapa anakichwa kama nenda
urudi badae
MCHEPUKO:Na wewe pua kama poa
MKE: Miguu kama masaa mawili
MCHEPUKO: Masikio kama sichelewi
MKE: Ondoka hapa mjinga we. …… Akafunga
mlango
MUME: mwambie ana macho kama sitoki leo
ng'o
No comments:
Post a Comment