mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Thursday, September 25, 2014

NA SHETANI ASHINDWE!



Mke alikuwa kaenda mjini kwenye shughuli zake ghafla akapata wazo amtembelee mumewe ofisini. Ile kufungua mlango wa ofisi ya mumewe si kamkuta sekretari kamkalia mumewe pajani. 
MUME: Karibu mke wangu mpenzi karibu. Unajua mimi sasa kazi kwenye kampuni hii nimeshindwa, hebu ona wamebana matumizi wanatuambia wafanyakazi wawiliwawili tutumie kiti kimoja na kompyuta moja. Yaani nilipanga nikirudi leo nikwambie kuwa mimi kazi basi tuangalie mbele yajayo
na shetani ashindwe!

No comments:

Post a Comment