JOHN: alikuwa analala darasani wakati
mwalimu anafundisha!
MWALIMU: We John kwanini unalala
wakati mi nafundisha?
JOHN: Unajua mwalimu sauti yako
nzuri ndio maana nikalala!
MWALIMU: Sasa mbona wenzako
hawajalala?
JOHN: Kwa sababu wao hawakusikilizi!!
MWALIMU: Haya nitajie wanyama kumi wa pori...
JOHN: Aaaah! uliza swali lingine bhana
hilo siwezi kujibu ni rahisi mno!
MWALIMU: Jibu kwanza hilo kama ni
rahisi!
JOHN: Simba saba na Chui watatu...!!
No comments:
Post a Comment