MWENYEJI: Wale ndugu wa bibi
harusi simameni mhamie viti vya karibu na lango ili mpokee zawadi maalumu.....jamaa kama 20 hivi wakahamia huko
MWENYEJI: Wale ndugu wa bwana
harusi nao wahamie viti jirani na hao wenzao....watu kama 30 wakahamia.
MWENYEJI: Haya wote nyie ni
wazamiaji tokeni nje maana hii ni birthday party yangu na wala siyo harusi.
No comments:
Post a Comment