Binti
wa Kizaramo Bi kidawa aliolewa na na Chacha, Mkurya safi wakawa wanaishi
Musoma kwa mapenzi ya hali ya juu. Siku moja wakaamua kuja Kisarawe kuwasalimu
wazazi wa bi kidawa. Bahati mbaya Chacha akaugua malaria kali sana na kwa siku
mbili hakuweza kula. Hatimaye siku ya tatu mama mkwe aliingia kwenye chumba cha
mkwewe kumjulia hali akamkuta kidogo ana nafuu;
MAMA
MKWE:
Vipi baba unadhani tukuletee nini?
CHACHA: Mukiniretea uchi wa
moto nitacharibu kidogo
MAMA MKWE: (Aliondoka kwa
aibu) We kidawa, mumeo naona amepona anakuhitaji upesi
No comments:
Post a Comment