mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Sunday, October 12, 2014

NETIWEKI INASUMBUA



MDADA: Baby mambo? Uko poa?
MKAKA: Poa baby vipi ushafika kwenu?
MDADA: ndio baby lakini kuna tatizo
MKAKA: Nini tena?
MDADA: Nilipofika nikaweka simu yangu kitandani, mume wangu kaichukua si akasoma meseji zako zote, sasa kanifukuza kanambia nije kwako, baby uko nyumbani nakuja
MKAKA: Halloo, Haloo, nani mwenzangu? Hallooo, netiweki inasumbua. 

No comments:

Post a Comment