mambo
WEKA
SULUM
Pages
Home
Thursday, October 09, 2014
NGOJA KIDOGO MZEE HILO UTALIKEMEA KESHO..!
MCHUNGAJI
:
Nakemea pepo la wizi likutoke
MUUMINI
: Amen
MCHUNGAJI
:
Nakemea pepo la uwongo likutoke
MUUMINI
:
Amen
MCHUNGAJI
:
Nakemea pepo la uasherati likutoke
MUUMINI
:
Ngoja kidogo mzee, hilo utalikemea kesho..!
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment