mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Sunday, October 12, 2014

NINI?




MKAKA: Sista naomba namba yako ya simu
MDADA: Huwa sitoi namba yangu kwa wanaume hovyohovyo
MKAKA: Mie shoga usiogope
MDADA: Haya namba yangu 0718......................
MKAKA: Hahahhaha asante ila nilikudanganya mie sio shoga
MDADA: Na mie nimekudanganya hiyo namba ni ya bwanangu
MKAKA: nini?

No comments:

Post a Comment