mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Thursday, October 09, 2014

UNADHANI MI MJINGA KUKWAMBIA UCHUKUE BASTOLA?


MZEE mmoja alikuwa hoi kitandani akajua anakufa akamwita mwanae wa kwanza wa kiume;
MZEE: Mwanangu mi nakufa chukua hii bastola yangu,itakufanya unikumbuke.
MWANA: Baba unajua mi sipendi mambo ya silaha, we nipe hata hiyo saa yako itatosha kwa kumbukumbu
MZEE: Pumbavu mkubwa unadhani mi mjinga kukwambia uchukue bastola? Ipo siku utamfumania mkeo, sasa ukiwa na saa utafanya nini? Utaishia kumwambia mgoni wako, saa hizi saa 6 samahani ondoka muda umekwisha?

No comments:

Post a Comment