mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Thursday, October 09, 2014

UNATAKA KUNIBAMBIKIZA KESI YA BANGI AFANDE?



Dogo kakamatwa na polisi akiwa na bangi mfukoni;
POLISI: Kijana unatembea na bangi, hii ni jinai
DOGO: Afande mi naona nimelogwa hiyo bangi kila nikiitupa chooni unakuta imerudi mfukoni mwangu.
POLISI: Acha kunifanya mie mjinga twende kituoni.
DOGO: Kama huniamini afande tumbukiza chooni utaona imerudi mfukoni mwangu toka jana inanisumbua....
POLISI: Natumbukiza tuone ukinidanganya ndipo utakapojua Dola maana yake nini......afande akatumbukiza bangi chooni
POLISI: Haya hebu toa hiyo bangi sasa mfukoni
DOGO: Bangi?........bangi gani?
POLISI: Si ile uliyosema inarudi mfukoni mwako?
DOGO: Afande mi sikuelewi kabisaa, mi na wewe tulizungumza wapi kuhusu bangi? Mi naijulia wapi bangi? Au unataka kunibambikiza kesi ya bangi afande?


No comments:

Post a Comment