MKE: Ulilala wapi?
Unadharau sana unanirudia mie alfajiri, leo lazima unambie huko ulikolala
MUME: Mke wangu mpenzi jana nilichanganyikiwa, si unamfahaamu rafiki yangu John, basi jana dadake kaanguka kafariki ghafla basi nimelazimika kulala huko kwa ajili ya kumbembeleza kwani alikuwa analia sana.
MKE: Ok naoga na mie nikawape pole........(akaenda kuoga)
MUME: Yaani maajabu makubwa yametoea, muujiza laivu
MKE: Kivipi?
MUME: Ulipoenda kuoga, John kanipigia simu eti kuna mchungaji kaja kumuombea yule dadake aliyekufa sasa kafufuka hivyo wameondoka kuelekea kijijini kwao kuwaona wazazi wao, yaani muujiza..!

No comments:
Post a Comment