mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Tuesday, November 18, 2014

HIYO STORI YA KUSIKITISHA, SASA TUMWAMBIE MUMEO AU?



Jamaa kaenda kushtaki kwa Mwenyekiti wa serikali za mtaa,
JAMAA: Mkuu nimekuja na mke wangu hataki kunipa unyumba bila sababu hebu ongea nae.
MJUMBE: Hebu muite, we kaa nje ya ofisi niweze kumsikiliza sababu zake kwanza
JAMAA: Poa mkuu
MJUMBE: Haya mama kunani tena huko mzee unamnyima unyumba?
MKE: Asubuhi naondoka nyumbani sina senti tano nachukua kibajaji mpaka kazini nikimwambia dereva sina hela, ananiuliza sasa utanilipa badae au? Mi nakubali au. Nakuwa hapo nimechelewa kazini, nikifika huko bosi anasema sasa umechelewa nikufukuze kazi au? Mi nachagua au, jioni narudi nyumbani tena mwenye kibajaji ananiuliza unalipa au? nakubali au, sasa nakuwa nimechoka mzee akitaka namnyima.
MJUMBE; Dah hiyo stori ya kusikitisha, sasa tumwambie mumeo au?

No comments:

Post a Comment