KUMBE NI HABARI FEKI
HIZI habari za kuwa kondom ni kinga kumbe ni habari feki. Yaani
jana kuna rafiki yangu alikuwa kavaa akafumaniwa na mke wa mtu akapigwa kama
mtoto, wala kondom hazikumkinga na chochote, kimsingi nimegundua kuwa condom
sio kinga ya madhara.
No comments:
Post a Comment