Wazee walikuwa wakifundishwa hesabu katika darasa la Elimu ya Watu wazima.
MWALIMU: Mzee Joni, 20 gawanya kwa tano ni ngapi?
MZEE JONI: Mwalimu hilo swali gumu sana
MWALIMU: Haya kwa mfano mngekuwa mko watu watano halafu
mkagawana machungwa ishirini kila mtu angepata mangapi?
MZEE JONI: Hapo ndio umenichanganya kabisaaa
MWALIMU: Ikiwa mko wanaume watano, halafu kuna wanawake 20,
mkigawana kila mtu atapata wangapi?
MZEE JONI: Hapo mwalimu lazima nipate wanne. Yaani wanawake
wanne wangu hapo
MWALIMU: Mh..! si useme tu mzee kama unapenda mademu.
No comments:
Post a Comment