MCHEPUKO: Jamani nyoa hizo ndevu
JUMA KONZI: Hapana bwana unataka
ninyoe za nini?
MCHEPUKO: Nataka niione hiyo sura yako ilivyokuwa
handsome, please nyoa
JUMA KONZI: Hapana ntakorofishana na
mke wangu anapenda niwe hivi
MCHEPUKO: Jamani juma nyoa bwana……jamaa akakubali akanyoa. Saa nane za usiku juma akarudi kwake akinyata na taratibu akaingia kwake alipojifunika shuka
mkewe akageuka akiwa nusu usingizini si akamgusa jamaa kidevu
WIFE: Haaa jamani john
unatafuta nini saa hizi? Unataka tuuwawe? Ondoka haraka mume wangu atarudi
wakati wowote
No comments:
Post a Comment