UMEZAWADIWA NENDA NAYO TU NYUMBANI
EBOLA
ni tishio!...Mgonjwa mmoja wa ebola alipanda madhabahuni
kumshukuru Mungu kwa kuwa AMEPONA Baada ya kumaliza alimrudishia MAIKI
mchungaji: Mchungaji akamwambia mpe mzee wa kanisa,Mzee wa kanisa
akamwambia mpe kiongozi wa ibada,Kiongozi wa ibada akasema mimi sihusiki
na mambo ya ushuhuda mpe katibu. ASKOFU akaona ni usumbufu wa hali ya
juu,akamwambia hiyo MAIKI umezawadiwa nenda nayo tu nyumbani!
No comments:
Post a Comment