Mzee: Mambo
mwanangu, kuna kitu naomba uonje nitakulipa
Mfamasia: Kitu gani?
Mzee akatoa kichupa na kijiko
akachanganya na majimaji yaliyomo kwenye kichupa na kumwambia mfamasia aonje. Mfamasia
akatia yale maji mdomoni na kuyazungusha zungusha mdomoni akionja;
Mzee: Nipe jibu!!
Ina utamu wa sukari, chumvi au pilipili?
Mfamasia: Kama
chumvichumvi.
Mzee: Hakuna
sukari.
Mfamasia: Sukari
hakuna kabisa?
Mzee: Loh!! Asante
sana, chukua hii elfu tano nashukuru sana. Dokta alinambia nipime mkojo wangu
kama nina kisukari, kumbe sina asante bwana mdogo umenisaidia sana.
Mfamasia:unasemaje we mzee..!
No comments:
Post a Comment