MFUNGWA: Wote mnajua nilifungwa miaka nanesasa nimerudi. Jambo la kusikitisha ni kuwa wakati niko jela kuna mtu akamchukua mke wangu na kumfanya wake. Sasa kwa vile yuko hapa mi naua halafu narudi jela. Baada ya kusema vile akanyanyua sime na kuanza kukaribia waliokuwa wakimsikiliza, wanaume saba wakatimka mbio ghafla. Jamaa akabaki kaduwaaa, kucheki, kaka zake wawili, mjomba wake, baba ake mdogo, na rafiki zake watatu.
Thursday, November 06, 2014
WOTE MNAJUA NILIFUNGWA MIAKA NANE
JAMAA
alifungwa miaka nane, alipofunguliwa akarudi kijijini kwao baada ya siku
mbili akamwomba mwenyekiti wa kijiji aitishe mkutano maana alikuwa na neno la
kusema. Watu wakahudhuria jamaa akakaribishwa kuongea. Akachukua sime lake
lililokuwa limenolewa vizuri, akasimama na kuanza kutoa hotuba
MFUNGWA: Wote mnajua nilifungwa miaka nanesasa nimerudi. Jambo la kusikitisha ni kuwa wakati niko jela kuna mtu akamchukua mke wangu na kumfanya wake. Sasa kwa vile yuko hapa mi naua halafu narudi jela. Baada ya kusema vile akanyanyua sime na kuanza kukaribia waliokuwa wakimsikiliza, wanaume saba wakatimka mbio ghafla. Jamaa akabaki kaduwaaa, kucheki, kaka zake wawili, mjomba wake, baba ake mdogo, na rafiki zake watatu.
MFUNGWA: Wote mnajua nilifungwa miaka nanesasa nimerudi. Jambo la kusikitisha ni kuwa wakati niko jela kuna mtu akamchukua mke wangu na kumfanya wake. Sasa kwa vile yuko hapa mi naua halafu narudi jela. Baada ya kusema vile akanyanyua sime na kuanza kukaribia waliokuwa wakimsikiliza, wanaume saba wakatimka mbio ghafla. Jamaa akabaki kaduwaaa, kucheki, kaka zake wawili, mjomba wake, baba ake mdogo, na rafiki zake watatu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment