Polisi: kijana unaishi wapi?
John: na wazazi wanguPolisi: wazazi wako wanaishi wapi?
John: wanaishi na mimi
Polisi: Nyie wote mnaishi wapi?
John: tunaishi pamoja
Polisi: nyumbani kwenu wapi?
John: karibu na kwa jirani yetu
Polisi: kwa jirani ni wapi?
John: nikiwaambia hamtaamini
Polisi: tuambie tu
John: karibu na kwetu.
Polisi: afande weka hili kijana ndani,
anacheza na serikali
No comments:
Post a Comment