mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Wednesday, December 24, 2014

BALAA LA ESCROW




JAMAA mmoja alikuwa nyumbani kwake akaanza kuzungumza peke yake:
Nimefungua TV... ESCROW,
Nimefungua Redio... ESCROW,
Nimefungua Facebook... ESCROW,
Nimefungua Twitter... ESCROW
Eeh! Sasa naogopa hata kufungua Friji!

No comments:

Post a Comment