1.MKWARA
STAGE
-Mwaka wa Kwanza wa ndoa ulivyo mtamu..Hapa bado wapya ni full kujishaua,kila mahali mko wote,Unawahi kurudi home,Kabla hujapika unauliza HUBBY UNGEPENDA KULA NINI LEO, Profile picture na Selfie za kumwaga,Mnafanya Anniversary za Ndoa Mwezi kwa Mwezi kama kifurushi cha CH*KA BOMBASTIK

2.I AM
HAPPILY MARRIED STAGE
-Miaka 2-3 ya ndoa,Pete za ndoa zinang'aa,full kupiga picha huku unashow kidole kila mtu ajue UR TAKEN..Ni mwiko kusahau Birthday ya Mkeo/Mmeo,Ukitongozwa unaripoti hapohapo kwa mme/mke..Full Huba,Mnabadilishana hadi Password za Simu na Facebook,Mnajenga Trust kwamba HAKUNA SIRI KATI YENU

3.I AM
MARRIED STAGE
-Hapa lile neno 'HAPPILY' limeanza kufifia..Ndoa ina miaka 5,Gusa Simu yake uone Moto kudadeki,mdada ushatotoa vitoto viwili,Umejiachia,Saluni huendi unasuka tu tatu kichwa freeshii..Jamaa anaanza kuhisi umezeeka/umedorora/huna mvuto..Umejiachia Mtumbo wa chips na uzazi huooo ukidhani MUMEO AMESHAKUZOEA so huna Muda wa kumu-impress anymore..Eti Kuku wako manati ya nini wakati nje kuna Masistaduu wanawaka kama Tanzanite na wanamtaka mumeo na pete yake hivyohivyo!

4.BORA
LIENDE STAGE
-Ndoa ishafika miaka 7-10 hivi,Hapa mume anarudi Muda anaotaka na hataki aulizwe kitu,yuko bize anasahau Birthday yako na ukimwambia anawaka kwamba unafuatilia VITU VIDOGO...Mnalala pamoja hata Mwezi hakugusi wala nini..Sexual Attraction kushnehi..Hapa ndo unakumbuka namba ya EX wako kichwani na kuanza kurecall alivyokuwa anapasi mpira vizuri kuliko mmeo anayechechemea dakika 6 halafu anakoroma,mnaanza kuwa close na EX na kuchepuka mara 1 moja na hujisikii vibaya coz Home hamna SPARK anymore na unahisi MUME NDIO AMESABABISHA UTOKE NJE!
Talaka huombi kwasababu unajiuliza WAZAZI WATANIONAJE...MASHOSTI NILIOWARINGISHIA HARUSI WATASEMAJE....Unatulia kimya!
Walio Nje wanawaona nyie ni MKE na MUME,lakini nyie wawili mnajua ukweli kwamba mmekuwa KAKA na DADA wasio tumbo moja!
Kila nikiwaza kuoa NATETEMEKA hadi najisikia kunena kwa Lugha,oooh rikababababababaatarakatarasikayabhoshamakaratabaratakariborosi

KANTANGAZE…..hayashamatarabatara..!
No comments:
Post a Comment