Harusi ilishapita mwezi, bwana na bibi harusi wakawa wanataka kupata mtoto lakini hawajui wafanye nini, Wakaenda kwa daktari kumueleza tatizo lao, akawatafutia kitabu cha watoto wadogo chenye maelezo rahisi yakieleza jinsi wanyama wanavyozaliana, baada ya siku mbili wakarudi na kulalamika kuwa hawajaelewa kitu, akawapa picha waangalie, wakadai hawaelewi, akawatafutia video zenye shughuli hiyo ‘live’ bado wakadai hawaelewi sawasawa. Daktari sasa akakasirika akamuita jamaa na mkewe kwenye ofisi yake, walipofika tu daktari akafunga mlango na akamshughulikia mke wa jamaa mbele yake ili jamaa aone kinachofanyika, alipomaliza wakati anavaa mke yuko hoi kwa furaha;
DAKTARI: Umeona kazi hiyo?
MUME: Dah nimeona asante sana dokta pole kwa kazi, sasa niwe
namleta mara ngapi kwa wiki?
No comments:
Post a Comment