mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Wednesday, December 24, 2014

TAHADHARI


Wapendwa , chukueni tahadhari sana, tena sana na msipuuzie kuanzia sasa kamwe msije mkala vyakula
kama ,Burger,Pizza,Birian,Pweza,Kababu,Chips Kuku,Sandwich, Chops, Supu ya Maini,
Mishikaki ya kuku, Meat Cake, Mkate wa nyama nk.
Bila ya kukumbuka kunichukulia na mimi
maana ndio mambo yangu hayo..

No comments:

Post a Comment