mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Saturday, January 31, 2015

ASA CHALII ANGU HICHO SI CHA JANA (MKOJO)

Mpogoro alitangaza anatibu magonjwa yooooooote kwa tsh. 100,000/=
Na kama akishindwa kukutibu angekurudishia laki yako nakukuongeza laki nyingine.
Basi MCHAGA akaona hii fursa yakujipatia hela akaenda kutibiwa.
MPOGORO: unaumwa nini?
MCHAGA: Sisikii ladha mdomoni kabisa..
MPOGORO: Nesi naomba kikopo no.27 mpe anywe huyu.  
MCHAGA: Puh puu puu uu si mkojo huu?
MPOGORO: Umepona karibu tena.
Kesho yake mchaga akarudi tena hakuamini ameliwa pesa yake.  
MCHAGA: Nina tatizo la kumbukumbu nasahau sana.
MHAYA: nesi naomba kikopo no.27  
MCHAGA: ASA CHALII ANGU HICHO SI CHA JANA (MKOJO)  
MPOGORO: UMEPONA KUMBUKUMBU UNAYO

No comments:

Post a Comment