Dogo mzaliwa wa Dar siku moja akaenda likizo kijijini kwa babu yake. Siku hiyo babu
kaamka asubuhi kamkuta dogo na glasi ya maziwa anainywa taratibu.
BABU:
Umenunua wapi maziwa?
DOGO:
Kwanini ninunue babu? Nimeenda kumkamua ng’ombe wako yule mweusi mimi mwenyewe
BABU:
Lakini Dogo mbona yule ng’ombe ni dume?
DOGO: enhe dume?
No comments:
Post a Comment