Demu mkaliiii alikaa na mzee kwenye daladala siti ya nyuma, mzee kavaa viatu vinatema kishenzi demu kashindwa kuvumilia na kuropoka,
"wee mzee VIATU vyako vinanuka bwana?"
Mzee akamjibu akasema, "Hapana hebu angalia CHUPI yako labda iko upande mjukuu wangu!"
Mzee akamjibu akasema, "Hapana hebu angalia CHUPI yako labda iko upande mjukuu wangu!"
No comments:
Post a Comment