Ilikuwa siku ya mahafali ya kidato cha nne,
mambo yalikuwa mengi na hatimaye jioni ikafika disco likafunguliwa rasmi. Muziki
taratibu wa blues ukawa unalia,JOHN akasimama na kumnyanyua mdada mmoja
ambaye alikuwa anachukua mchepuo wa
sayansi, katikati ya blues umeme ukakatika;
JOHN: What
is the matter?
MDADA:
Matter is anything which has weight and occupy space
No comments:
Post a Comment