John kaenda kwa mtabiri akamuangalie mambo yake.
MTABIRI: Fungua kiganja nikusome, okay hapa inaonekana una watoto wawili
JOHN: Hapo umebugi step mimi na mke wangu tuna watoto watatu, uliza watu wote mtaani kwetu wanajua.
MTABIRI: Umebugi wewe, mi naona una watoto wawili. Muulize vizuri mkeo
No comments:
Post a Comment