mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Saturday, January 31, 2015

MZEE MUSSO NA MJUKUU WAKE!


MZEE MUSSO: aisee bora hata ufanye biashara ya mama ntilie chakula kikibaki utakula kuliko hii biashara ninayo ifanya ikibaki ni inshu!
MJUKUU: Kwani unafanya biashara gani??
MZEE MUSSO: Sumu ya panya!
MJUKUU: Duuh..!

No comments:

Post a Comment