MGONJWA: Dokta kuna ndoto inanijia kila usiku naomba msaada wako
DOKTA: Unaota nini?
MGONJWA: Dokta naota mademu masupastaa wote wa bongo
wanapigania kunibaka, mi napigana nao nawatandika mangumi mpaka wanakimbia wote
DOKTA: Sasa watakaje ndugu yangu
MGONJWA: Nataka unikate hii mikono.
No comments:
Post a Comment