mambo
WEKA
SULUM
Pages
Home
Saturday, January 31, 2015
SASA HIVI NAJISIKIA NAFUU.!
MUME:
Mke wangu najisikia vibaya nadhani ni moyo mpigie dokta upesi
MKE:
Sina namba ya dokta,
nipe password ya simu yako
nimpigie
MUME:
Ohoo..! usijali mke wangu sasa hivi najisikia nafuu.!
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment