mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Sunday, January 11, 2015

SASA UMESEMA HUYO MJANE MZEE ANAKAA WAPI?

JAMAA: Mjomba nina jambo linanizingua.
MJOMBA: Nini tena nambie
JAMAA: Nataka kuoa sasa nina wapenzi wawili, wa kwanza ambaye ndiye moyo wangu unampenda ni msichana mzuri lakini masikini, wa pili ni bibi moja mjane mzee lakini tajiri, nifanye nini mjomba?
MJOMBA: Fuata moyo wako mjomba wangu, muoe unaempenda mjomba wangu.
JAMAA: Yaani mjomba asante kwa mawazo mazuri , hata mimi nilikuwa nafikiria hivyohivyo,
MJOMBA: Sasa umesema huyo mjane mzee anakaa wapi?

No comments:

Post a Comment