JUMA: Aisee mcharo mkeo yuko tabata Guest House na rafiki yako, kimbia upesi uwawahi…..Haraka
sana mcharo kaacha shughuli zote na kukimbilia gesti. Dakika kumi baadae akarudi
na hasira;
MCHARO: Hivi
we Juma mbona muongo hivi, yule jamaa wala sio rafiki yangu, nimeumbuka
kumsumbua mtu wa watu bure shauri yako wewe. Siku nyingine angalia vizuri bwana..!
No comments:
Post a Comment