mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Sunday, January 11, 2015

UMEGEUZA....UMEGEUZA...KANDA MBILI VUA UPESI UMEZIGEUZA OHOO..MAMAAA NISAIDIENI HUKUUU...!

Mtu na mkewe walienda kwa mganga wa kienyeji, walikuwa na tatizo,  mume alikuwa goigoi kitandani. Mganga akawambia ana kanda mbili ambazo ukizivaa mara moja unakuwa na nguvu za ajabu katika mambo husika. Mume akaona huyu mganga feki;MUME: Oyaa mke wangu twende huu ni ujinga, kanda mbili na matatizo yangu wapi kwa wapi?
MKE: Jamani si ungejaribu jamani, unadharau kitu hata hujui itakuwaje
MUME: Hebu tuondoke, waganga waongo lakini huyu ndio bingwa wao.
MGANGA: Si ungejaribu mzee, halafu ndio unilaani 
MUME:(Kwa hasira) Haya leta……akavivaa, ghafla akapiga ukelele na kuvua nguo zake, na kuanza kumng’ang’ania mganga, mganga akawa anajitahidi kujinasua jasho linamtoka
MGANGA: Umegeuza,umegeuza kanda mbili, vua upesi umezigeuza ohhhhhh nisaidieni jamani

No comments:

Post a Comment