ZUZU: Baba leo nimekuwa mjanja, sikupanda daladala, nikawa
nalifukuza tu toka shule mpaka nimefika
hapa kwa hiyo mfukoni
nina shilingi mia hamsini
BABA ZUZU: Pambaf zako..! ungekuwa na akili si' ungefukuza taxi saa
hizi ungekuwa na shilingi elfu kumi.
No comments:
Post a Comment